Posts

Showing posts from October, 2017

Hatimaye Keisha Azima KIKI Ya Dogo Janja Na Irene Uwoya....Afunguka Kinachoendelea

Image
Gumzo jingine kuanzia weekend iliyopita ni taarifa za ndoa ya Msanii Dogo Janja ikidaiwa kwamba kamuoa Mwigizaji Irene Uwoya ambapo tayari wawili hao waliandika kwenye mitandao yao ya kijamii kuonyesha kwamba ni kweli wameoana. Pamoja na hayo leo Msanii wa Bongofleva Keisha ambae alionekana kwenye picha ya pamoja siku ya tukio ameandika maneno ambayo yameonekana kuwachanganya watu baada ya kuonyesha kwamba ile ilikua ni video na itaachiwa hivi karibuni hivyo akawashukuru kina Dogo Janja kwa kuhudhuria. Bonyeza pla yapa chini kuona kauli ya Keisha….

Dogo Aslay Sio Mtu Wa Mchezo Ajizawadia Hili Gari La Kifahari Pamoja Na Jumba Hili Angalia Hapa

Image
mwimbaji staa ambae hakuna kijiwe cha Bongofleva kisichomfahamu au kucheza nyimbo zake na hakika amepata mialiko ya kutosha kutumbuiza kwenye jukwaa kubwa la FIESTA 2017. Leo ametuonyesha gari lake alilojinunulia aina ya BMW ambapo kwenye hiyo picha aliambatanisha shukrani zake nyingi kwa Management yake, kumshukuru Mungu na kumkumbuka Marehemu Mama yake.

Hiki Ndio Kicheko Alicho Toa Rais Magufuli Baada Ya Nyalandu Kuamia CCM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa wapo watu ambao walikuwa ni wezi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema saizi watu hao wamekimbilia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Rais Magufuli amesema hayo leo Oktoba 31, 2017 akiwa ziarani mkoani Mwanza ambapo alikuwa akiongea na wananchi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza na kusema kuwa yeye anataka maendeleo kwa kuwa anaamini Tanzania inahitaji kujengwa na Watanzania wote na kudai ndani ya vyama vya siasa kuna wezi ambao hao ndiyo wamechelewesha maendeleo ya nchini. "Tunataka Tanzania mpya hilo ndiyo lengo langu kwa sababu yapo yalikuwa ni majizi makubwa sana Chama Cha Mapinduzi (CCM) yakakimbilia CHADEMA ndiyo maana sijasema CUF oyeee kwa sababu wapo waliomo CUF wengine ni wabaya sana. Mimi nataka maendeleo kwa sababu maendeleo yanaletwa na Watanzania wote tushikamane ndugu zangu tutachelewa tushikamane sasa hivi tuipeleke Tanzania yetu mbele" alisisitiza Rais M...

Hatimaye Makonda Ajibu Mapigo Ya Nyarandu Leo...... Amshushia Haya Maneno Mazito Soma Hapa

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Bw. Paul Makonda amewaasa Watanzania kuwapuuza wanasiasa wanaotoa maneno ya kichochezi wakilaumu hali ya uchumi kuyumba na kuikosoa serikali ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. RC Makonda amesema hayo leo jijini Dar es salaam wakati akiwa kwenye mkutano wa kukabidhi magari mabovu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) na magari ya Magereza kwa wadau ili kukarabatiwa. RC Makonda amesema ameshangazwa na Mhe. Lazaro Nyalandu aliyejivua nafasi ya Ubunge na uanachama wa CCM kwa madai kuwa Chama hicho kimepoteza muelekeo, wakati serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na chama hicho imezindua miradi mingi ya maendeleo ikiwemo mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (Standard Gauge) na ununuzi wa ndege sita za serikali. Msikilize hapa chini akiongea kwenye mkutano huo

Joti Kawajibu Wanaomsema Kwa Kunyoa kiduku kwenye harusi yake Angalia Hapa

Image
Jumamosi iliyopita ilikua harusi ya Mchekeshaji maarufu Tanzania  Lucas Muhavile  maarufu kama Joti ambapo gumzo lilikua pia nywele zake alizonyoa kwa staili ya kiduku na kuingia nacho Kanisani jambo ambalo lilifanya baadhi ya watu kuongea sana kwenye mitandao. Leo  AyoTV  na  millardayo.com  zinae Joti kwenye Exclusive Interview ambapo amewajibu waliomsema kuhusu kiduku chake, >>> “ Sidhani kama kuna sheria au kuna maandiko yameandika kwamba ukinyoa hivi hutakiwi kufunga ndoa, hii sanasana iko kwenye maadili tu “ “Nilimuomba Padri na akanielewa na kuniambia wewe ni Msanii tunajua cha kufanya usisuke tu, fumua hizo nywele ziwe tu kawaida zibanebane vizuri”

Jua Vitu Nane Vya Kipumbavu Ambavyo Wadada Karibia Wote Hufanya Kwenye Mapenzi

Image
1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga  2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao 3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui 4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo. 5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira), mwanaume ambaye ajatoa pesa ya mahari 6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye sii mume wako. 7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambaye wazazi wako hawamjui 8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu amekuambia atakuoa

Joti Kawajibu Wanaomsema Kwa Kunyoa kiduku kwenye harusi yake

Image
Jumamosi iliyopita ilikua harusi ya Mchekeshaji maarufu Tanzania  Lucas Muhavile  maarufu kama Joti ambapo gumzo lilikua pia nywele zake alizonyoa kwa staili ya kiduku na kuingia nacho Kanisani jambo ambalo lilifanya baadhi ya watu kuongea sana kwenye mitandao. Leo  AyoTV  na  millardayo.com  zinae Joti kwenye Exclusive Interview ambapo amewajibu waliomsema kuhusu kiduku chake, >>> “ Sidhani kama kuna sheria au kuna maandiko yameandika kwamba ukinyoa hivi hutakiwi kufunga ndoa, hii sanasana iko kwenye maadili tu “ “Nilimuomba Padri na akanielewa na kuniambia wewe ni Msanii tunajua cha kufanya usisuke tu, fumua hizo nywele ziwe tu kawaida zibanebane vizuri”

Kashfa Hii Nzito Yamkimbiza Nyalandu CCM Na Kuamia CHADEMA..... Ni Kuhusu Vitalu Vya Mabilioni soma hapa

Image
KASHFA YA UFISADI WA NYALANDU. Kampuni ya Kimarekani ya Friedkin Conservation Fund (FCF) ambayo inamiliki kampuni tanzu za uwindaji wa kitalii za Mwiba Holdings  Ltd, Tanzania Game Trackers Safaris (TGTS) ni miongoni mwa watuhumiwa wa ujangili Uchunguzi unaonesha kumekuwapo matukio kadhaa ya wafanyakazi wa Mwiba kukamatwa wakiwa wameua wanyamapori na kukutwa na nyara za Serikali. Vyanzo vya habari kutoka ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii vimesema mara zote kesi zinazoihusu kampuni hizo zimekwama kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni urafiki wao wa karibu na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu. Urafiki wa Nyalandu na wamiliki wa kampuni hizo ulikuwa mkubwa kiasi cha kumpatia moja ya helikopta zake aitumie kwenye mbio za kuwania urais, kabla ya kushindwa na kujielekeza kwenye ubunge. Helikopta ya kampuni hiyo ndiyo aliyoitumia wakati wote wa kampeni zake za ubunge Nyalandu alimwamuru Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori wa wakati huo, Paul Sarakikya, kutoa Les...

Breaking News:: Habari Ya Ivi Punde Kutoka Kwa Nape Nnauye SOma Hapaa

Image
Mbunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Nape Nnauye amefunguka na kuweka sawa kuwa leo  Oktoba 31, 2017 hatakuwa na mkutano wowote na vyombo vya habari na kusema kuwa watu wanatunga hizo taarifa. Nape Nnauye ametoa kauli hiyo kupitia mtandao wake wa kijamii na kuwataka watu waache kumzushia mambo wakiwa na lengo la kutafuta nafasi na vyeo serikalini. "Acheni kupiga ramli juu ya kesho yangu!! Kisa mnatafuta vyeo na hamuwezi kutumia akili kufikiri! Sina 'press conference' kesho" aliandika Nape Nnauye Jana mchana watu wasio na nia nzuri na Nape Nnauye walizusha taarifa kuwa kiongozi huyo  leo Jumanne atakuwa na mkutano na waandishi wa habari jambo ambalo yeye mwenyewe amelipinga na kusema watu wanazusha taarifa hizo kwa maslahi yao wenyewe.

BREAKING NEWS: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi Angalia Tukio Zima Hapa

Image
Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Mbunge wa Kigoma Mjini ambae pia ni kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe amekamatwa na polisi. Taarifa zaidi zinasema Zitto amekamatwa akiwa nyumbani kwake Dar es salaam na kupelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe, habari hii imethibitishwa na Afisa Habari wa ACT Wazalendo Abdallah Khamis ambaye ameeleza kuwa sababu za kukamatwa kwake ni hotuba aliyoitoa juzi katika kata ya Kijichi.

Kashfa Hii Nzito Yamkimbiza Nyalandu CCM Na Kuamia CHADEMA..... Ni Kuhusu Vitalu Vya Mabilioni soma hapa

Image
KASHFA YA UFISADI WA NYALANDU. Kampuni ya Kimarekani ya Friedkin Conservation Fund (FCF) ambayo inamiliki kampuni tanzu za uwindaji wa kitalii za Mwiba Holdings  Ltd, Tanzania Game Trackers Safaris (TGTS) ni miongoni mwa watuhumiwa wa ujangili Uchunguzi unaonesha kumekuwapo matukio kadhaa ya wafanyakazi wa Mwiba kukamatwa wakiwa wameua wanyamapori na kukutwa na nyara za Serikali. Vyanzo vya habari kutoka ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii vimesema mara zote kesi zinazoihusu kampuni hizo zimekwama kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni urafiki wao wa karibu na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu. Urafiki wa Nyalandu na wamiliki wa kampuni hizo ulikuwa mkubwa kiasi cha kumpatia moja ya helikopta zake aitumie kwenye mbio za kuwania urais, kabla ya kushindwa na kujielekeza kwenye ubunge. Helikopta ya kampuni hiyo ndiyo aliyoitumia wakati wote wa kampeni zake za ubunge Nyalandu alimwamuru Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori wa wakati huo, Paul Sarakikya, kutoa Les...

Hadi Sasa Hawa Ndio Wabunge Wa CCM waliojiuzulu Na Kuamia CHADEMA...Soma Hapa

Image
Lazaro Nyalandu Amejiuzulu Hadi Sasa NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM, nafasi ambayo nimeitumikia kwa vipindi vinne mfululizo tangu nilipochaguliwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2000 hadi Sasa.

Breaking News: Lazaro Nyalandu ajiuzulu Ubunge Singida Kaskazini.......Atangaza Kuhamia CHADEMA

Image
NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM, nafasi ambayo nimeitumikia kwa vipindi vinne mfululizo tangu nilipochaguliwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2000 hadi Sasa. AIDHA, Nimechukua UAMZI huo kutokana na kutoridhishwa kwangu na mwenendo wa hali ya Kisiasa nchini, ikiwa ni pamoja na ukiukwaji wa HAKI za Kibinadamu, ongezeko la vitendo vya dhuluma wanavyofanyiwa baadhi ya watanzania wenzetu, na kutokuwepo kwa mipaka ya wazi kati ya MIHIMILI ya dola (Serikali, Bunge, na Mahakama) kunakofanya utendaji kazi wa Kibunge wa Kutunga Sheria na wa Kuisimamia Serikali kutokuwa na uhuru uliainishwa na kuwekwa bayana KIKATIBA. VILEVILE, Naamini kwamba bila Tanzania kupata Katiba Mpya Sasa, hakuna namna...

Ujumbe wa Kikwete kwa Rais Magufuli Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa Wazua Gumzo

Image
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amemtumia ujumbe Rais wa sasa wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kuhusu siku yake ya kuzaliwa ambayo ni leo Oktoba 29. Kwenye ukurasa wake wa twitter Jakaya Kikwete ameandika ujumbe huo wa kumtakia heri, huku akizidi kumuombea kwa Mungu, ampatie afya na siha njema. "Nakutakia kila la kheri Mhe Rais Magufuli unaposherehekea siku yako ya kuzaliwa. Nakutakia afya na siha njema na umri mrefu zaidi", ameandika Jakaya Kikwete. Leo Oktoba 29, Rais Magufuli anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza miaka 57, tangu alipozaliwa mwaka 1959 huko wilayani Chato mkoani Geita.

Hizi ni Picha 10 Za Ndoa Ya Irene Uwoya na Dogo Janja Angalia hapaa

Image
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Irene Uwoya jana Jumamosi amethibitisha kuwa amefunga ndoa, huku akiwaacha watu njia panda  kwa kutoweka wazi mwanaume aliyefunga nae ndoa. Wikiendi hii Irene Uwoya kupitia ukurasa wake wa Instagram amekuwa bize kuposti picha zake akiwa ndani ya shela huku akimshukuru Mungu kwa kufanikisha zoezi hilo. Licha ya Irene Uwoya kutomtaja mwanaume, marafiki zake wa karibu wamempongeza na kumtaja mwanaume huyo kuwa ni Dogo Janja. Mtu wa kwanza kutoa pongezi kwa Irene Uwoya ni Mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi Mketema ambapo amemtaja Dogo Janja kwenye pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “ Hongera Sana kwa NDOA mpenzi wangu, mwanzo nilihisi ni movie lakini sasa nimeamini.. MUNGU awatangulie katika hili mlilolifanya @ireneuwoya8 @dogojanjatz kila la kheri INSHA’ALLAH!! ”

Wakaka Mpo:Je Unajua Jinsi Ya Kutambua Bikra Feki (Bikira Mchina) Ukiwa Juu Ya 6 Kwa 6. Soma Hapa Ujuhe

Image
Kuitambua bikira feki ni rahisa sana. Mwanzo utaingiza kwa taabu sana lakini baada ya hapo, ndani utakuta ni kupana mno.....tena huenda usitoshe vizuri ukapwaya pwaya. Njia nyingine ni kuziangalia chuchu za mwanamke. Mwanamke ambaye hajawahi tumika ana chuchu ngumu mithili ya kijiwe kidogo . Haijalishi ukubwa wa matiti aliyo nayo maana wengine wameumbwa hivyo kiasilia.Ukweli utajidhihirisha kwenye chuchu zake. Hii nimeilete kama speed gavana ya kupunguza uongo wa wanawake kwa wanaume Nina imani itapunguza tatizo kama si kumaliza utapeli huu. Nawasilisha kwenu... nawe basi toa comment yako kuchangia mada hii kwa unachokijua kuhusu bikra!

Ndoa Ya JOTI Ni Kufuru..... Ameowa Mdada Mzuri Kupindukia Lazima aibiwe Angalia Hapa

Image
Joti amefanya tukio la kushtukiza lakini ni zuri kwa maana ni hatua flani kila mtu anatamani kuifanikiwa ili apate kutengeneza familia na mwenza wake. Wengi walizani ni TANGAZO lakini hii ni ukweli mtupu. Wenzake walio kuwa kundi moja Masanja na Mpoki wamwmtakia kila la kheri kwenye safari yake mpya atakayo ianza baada ya kufunga ndoa hii.

Hali Tete Kwa Mfanyabiashara Tajiri Yusuph Manji..Apatwa Na janga Lingine kubwa

Image
Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji amekuwa katika kipindi kigumu tena baada ya kuandamwa na mambo mengi ambapo kwa sasa Kampuni ya Udalali ya Yono imezifunga  ofisi zake zilizopo Barabara ya Pugu akituhumiwa kudaiwa kodi ya zaidi ya Sh300 milioni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Diamond Awa Msanii Wa Kwanza Afrika Kupata Tuzo Hii Kubwa Duniani...Team Kiba Watowa Povu

Image
Msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz amepatiwa tuzo na label ya Universal Music Group (UMG) hapo jana October 27 mara baada ya wimbo wake Marry You aliomshirikisha Ne-Yo kufikisha mauzo ya platinums sita, hivyo kumfanya kuwa msanii wa kwanza Afrika chini ya label hiyo kufikisha idadi hiyo ya mauzo. Leo nimekuwa msanii wa kwanza wa kiafrika alosainiwa Universal Music Group kufikisha Mauzo ya nyimbo yake Platinum Mara sita Mfululizo kupitia nyimbo ya  #MarryYou  nilomshirikisha  @Neyo …. kwa niaba ya Team yangu na  @neyo  tungependa kuwashukuru Mashabiki na Media zote Ulimwenguni… )  #ABoyFromTandale Ujumbe huo aliandika Diamond katika mtandao wa kijamii wa Instagram akielezea furaha yake ya kushinda tuzo hiyo, hata hivyo Baby Mama wake, Zari The Boss Lady naye alimchukua muda wake na kumpongea Diamond kwa kuandika;. Congrats babe  @diamondplatnumz  for becoming the first African Artist signed under Universal to hit Six times platinum sales on yo...

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Image
Kutokana na uchumi kupanda na bei za mafuta na vinywaji ambavyo vimekuwa ni vitega uchumi vyetu muhimu, tumeona tuweke bezi zetu sawa na uchumi wa mtanzania bei hizi zitategemea na sarafu ya Tanzania katika soko la dunia. Bei zilizoko sokoni; Jolly club short tm 30000 full tm-100000, Africa Sana Kona Bar, Sunciro, Meridian Kinondoni - Short time 10000 full time-40000 ila wabishi sana kukupa full Time maana kuna vichwa vingi labda umchukue saa nane usiku. -Maisha Club ndani -short time $50 full data -$100 kwa mzungu kwa mswahili sht-50000 full-100000, - Maisha club nje bei ni kama za africa sana hao ni wale wa ndani ndo matawi, - Maeda Sinza elf 5 -10 shrt tm, full tm hakuna hapa kuna mpka wanaovaa kandambili, - Uwanja wa fisi bei ni kuanzia 500 hadi 5000, - Buguruni ni kuanzia 2000 hadi 10000 , - Kwenye massage centers bei ni kati ya 50,000 hadi 10,000 kutegemea na quality ya mtoto. - Wa maofisini bei ni kuanzia 100,000 unamchukua kwa siku nzima mtoto wa ukwee! - Temeke – hadi malaya w...

Je, Unatamani Kuacha Kuangalia Picha Za Ngono Na Unashindwa? Soma Hapa upate mbinu za kuacha

Image
Kuacha kutazama picha za ngono kunahitaji nidhamu,  ujasiri na imani ndani yake. Kwani bado madhara yake huwa hayaonekani mbele ya macho ya mtumiaji. Fuata hatua zifuatazo kujiachisha na tabia hii: 1.AMUA KUACHA LEO USISEME KESHO: Mara kwa mara watu ambao wamebobea katika uangaliaji wa picha hizi,  wanapomaliza kuangalia hujipa ahadi kwamba kesho tu nitaacha kuangalia. Baadaye wanajikuta kesho haifiki,  kwani kila siku ina kesho yake. Ukitaka kweli kuacha amua muda uliopo sasa usipange kesho ambayo hujaifikia. 2.USIKAE KARIBU NA MAZINGIRA YA PICHA HIZO: Ukitaka kujisaidia kuondokana na tatizo hili, hakikisha una kaa mazingira  ambayo hayajatawaliwa  na picha za ngono. Kama unatumia kompyuta, simu au  hata iPad ambayo  ndani yake umehifadhi picha hizo zifute sasa, na ikiwa unatumuia  DVD au CD ziharibu usikae nazo ndani,  na hata katika  historia ya anwani ya  mitandao uliyotembelea,  kama zipo zifute kabisa kwani ukiziona utaru...