Dogo Aslay Sio Mtu Wa Mchezo Ajizawadia Hili Gari La Kifahari Pamoja Na Jumba Hili Angalia Hapa
mwimbaji staa ambae hakuna kijiwe cha Bongofleva kisichomfahamu au kucheza nyimbo zake na hakika amepata mialiko ya kutosha kutumbuiza kwenye jukwaa kubwa la FIESTA 2017.
Leo ametuonyesha gari lake alilojinunulia aina ya BMW ambapo kwenye hiyo picha aliambatanisha shukrani zake nyingi kwa Management yake, kumshukuru Mungu na kumkumbuka Marehemu Mama yake.
Comments
Post a Comment