BREAKING NEWS: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi Angalia Tukio Zima Hapa
Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Mbunge wa Kigoma Mjini ambae pia ni kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe amekamatwa na polisi.
Taarifa zaidi zinasema Zitto amekamatwa akiwa nyumbani kwake Dar es salaam na kupelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe, habari hii imethibitishwa na Afisa Habari wa ACT Wazalendo Abdallah Khamis ambaye ameeleza kuwa sababu za kukamatwa kwake ni hotuba aliyoitoa juzi katika kata ya Kijichi.
Comments
Post a Comment