Hatimaye Keisha Azima KIKI Ya Dogo Janja Na Irene Uwoya....Afunguka Kinachoendelea
Gumzo jingine kuanzia weekend iliyopita ni taarifa za ndoa ya Msanii Dogo Janja ikidaiwa kwamba kamuoa Mwigizaji Irene Uwoya ambapo tayari wawili hao waliandika kwenye mitandao yao ya kijamii kuonyesha kwamba ni kweli wameoana.
Pamoja na hayo leo Msanii wa Bongofleva Keisha ambae alionekana kwenye picha ya pamoja siku ya tukio ameandika maneno ambayo yameonekana kuwachanganya watu baada ya kuonyesha kwamba ile ilikua ni video na itaachiwa hivi karibuni hivyo akawashukuru kina Dogo Janja kwa kuhudhuria.
Bonyeza pla yapa chini kuona kauli ya Keisha….
Comments
Post a Comment