Hatimaye Makonda Ajibu Mapigo Ya Nyarandu Leo...... Amshushia Haya Maneno Mazito Soma Hapa
RC Makonda amesema hayo leo jijini Dar es salaam wakati akiwa kwenye mkutano wa kukabidhi magari mabovu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) na magari ya Magereza kwa wadau ili kukarabatiwa.
RC Makonda amesema ameshangazwa na Mhe. Lazaro Nyalandu aliyejivua nafasi ya Ubunge na uanachama wa CCM kwa madai kuwa Chama hicho kimepoteza muelekeo, wakati serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na chama hicho imezindua miradi mingi ya maendeleo ikiwemo mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (Standard Gauge) na ununuzi wa ndege sita za serikali. Msikilize hapa chini akiongea kwenye mkutano huo
Comments
Post a Comment