PICHA 6: Paul Makonda afika Clouds Media Group na Kamati ya Ulinzi Yazua Gumzo Soma Hapa



Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama kwenye mkoa wa Dar es salaam ambayo yeye ndio Mwenyekiti wake, ameitembelea Clouds Media Group leo November 22 2017.
Makonda amefika na kutoa pole kutokana na moto uliounguza sehemu ya jengo la CMG upande wa CloudsTV jana November 21 2017
Kamati ya Ulinzi ikiongozwa na Paul Makonda ikionyeshwa sehemu iliyoungua, kuanzia kushoto ni Afisa Uhusiano wa CMG Simon Simalenga, anaefatia ni Founder na C.E.O wa CMG Joseph Kusaga

Comments

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa

Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa