Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa

Yawezekana huna mpenzi au labda huna muda wa kutafuta mwenza, utakapoona mabadiliko haya mwilini mwako basi inabidi ufikirie kuanza kale kamchezo ketu. Haya ni mabadiliko yanayoweza kutokea mwilini mwako utakapoacha kufanya mapenzi, na si mabadiliko mazuri kama namba hili la kwanza katika mabadiliko haya:

1. Unaweza kupata ndoto nyevu
Kama inavyomtokea mtoto wa kiume aliye kwenye balehe, wanawake wasiofanya mapenzi mara kwa mara, watajikuta wakipata ndoto nyevu wakiwa usingizini.hii itakutokeasio tu kwa kutokufanya mapenzi mara kwa mara bali hata unapoacha kupiga punyeto.

2. Unapoteza hamu ya kufanya mapenzi

Japokuwa usemi wa “usichokitumia kitapotea” unatumika kuelezea jambo kama hili, wanawake hawapotezi kitu chochote ambacho hakiwezi kurudi kwenye hali yake ya kawaida, walau wakiwa katika hatua za kuweza kupata watoto. Ni kawaida sana kwa mwili wa mwanamke kuacha kuwaza kufanya mapenzi kama hakufanya kwa muda mrefu. Mwili unazoea hali ya kutopata hisia hizo.

3. Kuta za uke zinadhoofika

Inafahamika kwamba ukiwa na umri zaidi ya miaka 50 hivi wanawake wanakuwa katika uwezekano mkubwa wa kutopata raha kabisa wakati wanafanya mapenzi iwapo hawatakuwa wakijamiiana mara kwa mara.

4. Unaongezeka uzito wa mwili

Kufanya mapenzi ni njia bora sana ya kuishughulisha moyo na misuli bila kupata maumivu unayopata ukikimbia au gym. 


5. Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili

Kufanya mapenzi mara kwa mara kuna faida kubwa kiafya, na tunapoacha kwa muda mrefu tunajiweka kwenye hatari ya kuugua kirahisi zaidi! Kwa mujibu wa wataalamu wa Kliniki ya Mayo nchini Marekani,
6. Kuwa na msongo wa mawazo

Sio tu kwa sababu ya raha unayopata wakati wa kufanya mapenzi, mbegu za kiume ni moja ya vinavyopunguza msongo wa mawazo kwa mwanamke. 

7. Unapunguza uwezekano wa maambukizi ya magonjwa ya zinaa, UTI na mimba usizotarajia

Mara nyingine maambukizi yanatokana na kutojikausha vizuri au kuwa na unyevu kwa muda mrefu au kuvaa nguo zinazobana sana, lakini kutofanya mapenzi inamaanisha hutakuwa na wasiwasi tena kuhusu kupata magonjwa ya zinaa na mimba zisizotarajiwa.
8. Kusahau mara kwa mara

Uwezo wa kiakili unapungua. Kusahau mara kwa mara ni tatizo kubwa ambalo mwanamke anapata asipofanya mapenzi mara kwa mara kwa sababu hii

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa