Mwanaume afia kwenye nyumba wanakojiuzia Wanawake Manzese DSM angalia video Hapa


Kupitia Hekaheka ya CloudsFM leo Nov 15, 207 Geah Habibu kainasa hii ya Mwanaume aliyekutwa kafariki ndani ya nyumba Wanawake wanakojiuza maeneo ya Manzese Dar es salaam, ikidaiwa kuwa chanzo cha kifo chake ni kutumia Dawa za kuongeza nguvu.
Mwanaume huyo ambaye ni Dereva Tax amekuwa akionekana anapaki Gari lake maeneo hayo na inasemekana alikuwa akiingia kwenye Nyumba ambazo wanajiuza Wanawake, alikutwa amelala kitandani akiwa hana nguo na aliposachiwa mfukoni alikutwa na vidonge vya kuongezea nguvu za kiume.
Bonyza PLaY hapa chini kusikiza Full Story.

Comments

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa

Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa