Mpambano wa Aslay na Diamond Wahamia Kwenye Magari Ingia Hapa Kuangalia Nani Ana Gari Kali



Wazee nimepita sehemu nikakuta haters wa Diamond wanasifia kishenzi kwamba Asley kanunua gari kali kuliko msanii yoyote hapa bongo,
Sasa mimi huwa sipendi ujinga nikaingia chimbo nikafanya upelelezi wangu nikagundua kumbe ile X3 ya Asley hata Millioni 100 haijafika bana, wakati huo kaka wa bongoflavor Diamond X6 yake inagonga 130 Millioni....
Nimeamini kweli hapa bongo ukishakua namafanikio tu basi haters watakuwinda kama traffic wa posta,
Cheki mashine hii....

Comments

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa

Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa