Makubwa...Bilionea wa Nyumba za Lugumi Mzee wa 900 Itapendeza Afunguka Kuvutiwa na Wema Sepetu

Bilionea wa Nyumba za Lugumi Afunguka Kuvutiwa na Wema Sepetu

BILIONEA wa nyumba za Lugumi, Dkt Louis Shika amemfungukia ‘Tanzania Sweetheart’, Wema Issac Sepetu kuwa ni staa ambaye anamkubali ukiachana na huyo kwa upande wa muziki Ray C ni mmoja wa mwanadada ambaye anamkubali kupitia nyimbo yake ya nataka niwe na wewe milele.
Bilionea huyo ambaye amekuwa staa kwa muda mfupi kwa umaarufu wa Jina la 900 Itapendeza baada ya mnada wa nyumba za Lugumi bilionea akatambulika kwa jina hilo. 

Comments

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa

Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa