BREAKING NEWS:.Rais Magufuli amteua Dkt. Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi. Soma Zaidi Hapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Novemba, 2017 amemteua Dkt. Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi.
Dkt. Wilbrod Peter Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
23 Novemba, 2017
Comments
Post a Comment