BREAKING NEWS: Mahakama yamwachia huru Kigogo wa ESCROW Soma Zaidi Hapa
habari kutoka Mahakamani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam leo November 2 2017 ambapo mmoja wa ‘vigogo’ kwenye sakata la ESCROW ameachiwa huru.
millardayo.com na AyoTV zinaripoti kwamba Mahakama hiyo ya Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangomaambae alikua anakabiliwa na kosa la kupokea rushwa ya Sh. milioni 323 kutoka kwa Mfanyabiashara James Rugemalira

Comments
Post a Comment