Ubuyuuuu Wa Moto:::::Calisah aeleza kwanini alishindwa kumpachika mimba Wema (Video)


Mwanamitindo wa kiume ambaye kwa sasa anatikisa katika mitandao ya kijamii, Calisah amefunguka mapya baaada ya kudai kuwa anafanya biashara ya kuwapachika mimba wanawake ambao wanatafuta watoto kwa gharama nafuu.  Model huyo ameiambia Bongo5 kwanini alishindwa kumpachima mimba mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu ambaye amekuwa akitamka hadharani kwamba anataka mtoto na amekuwa akitafuta kwa muda mrefu.

Kwa Mujibu Wa Calissa Wema Alishindwa Kumlipa Hela Nzuri Ili aweze Kumpachika Mimba

Comments

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa

Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa