Picha 20 Za Kwanza za Tundu Lissu Akiwa Hospital Zaanza Kutolewa Ziangalie Hapa
TUNDU LISSU: Picha ya kwanza ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ikimuonyesha akitabasamu na kupungia mkono akiwa hospitalini Nairobi Kenya. Ni picha ya kwanza inayomuonesha mwanasheria huyo tangu kupigwa risasi mjini Dodoma mwezi uliopita .
Rais wa chama hicho cha upinzani , Freeman Mbowe amesema Tundu Lissu anatarjiwa kutoka hospitali wiki ijayo, lakini kwa kuhofia usalama wake hawatamrudisha Tanzania Picha kwa hisani ya CHADEMA

Comments
Post a Comment