Muonekano wa Wasanii Hawa 10 Watakapokuwa Wazee..Diamond Katisha Angalia Picha Zaidi Hapa
Ama kweli uzee ni kitu ambacho wengi hawakipendi na hawatamani kufikia hapo. Hivi karibuni kumekuwa na picha kibao za wasanii wakubwa hapa Tanzania zikiwaonyesha wakiwa na muonekano wa kizee. Kati ya hizo zilizotrendi sana ni hii ya Diamond , Haramonize na Zari. Una Maoni gani kuhusu hili mdau. Tupia Comment yako Hapa chini

Comments
Post a Comment