Masikini LULU::Hii Ndio Hukumu Anazoweza Kupewa Mtu Aliyeuwa Bila Kukusudia


Je, hukumu za kesi ya mtu aliyeua kwa kukusudia na aliyeua bila kukusudia zipo vipi?
1-Adhabu ya kuua kwa kukusudia; Adhabu kwa mtu aliyeua kwa kukusudia ni kunyongwa mpaka kufa.
2-Adhabu ya kuua kwa kutokukusudia; Adhabu kwa mtu aliyeua bila kukusudia inaweza ikawa kifungo cha maisha au kifungo cha miaka 30 jela au kifungo cha muda wowote.
Hapa kwenye kifungo cha muda wowote inaweza kuwa mwezi mmoja, miwili, mitatu, sita au  mwaka, miaka mitatu hadi miaka 20.
Kwanini adhabu ya makosa ya kuua bila kukusudia ina adhabu tofauti tofauti?
Adhabu za makosa ya kuua bila kukusudia mara nyingi hutofautiana kutokana na mazingira ya tukio jinsi lilivyotokea, ushahidi uliowasilishwa mahakamani na mtuhumiwa na mwenendo wake.
Kwenye mwenendo wake hapa huangaliwa rekodi ya mtuhumiwa kama alishawahi kufanya kosa kama hilo au makosa mengine kipindi cha nyuma pamoja na tabia zake kiujumla.
Je, kuna uwezekano kwa mtuhumiwa wa kesi ya kuua bila kukusudia kupewa adhabu ya kufanya kazi za jamii (Community Service) ?
Ukweli ni kwamba kutokana na ukubwa wa tukio la kuua ni ngumu kwa mtuhumiwa kupewa adhabu kama hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa

Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa