Kweli Ubunge Unalipa Hata Kama Upo Upinzani......Unaambiwa Hii Ndio HOTEl Ya Kifahari Anayojenga Sugu
Ni Hoteli ambayo ujenzi wake ulianza mwaka 2016 na umemalizika na kufunguliwa mwaka 2017 ikiwa ni Hoteli yenye vyumba 16 vya kulala na kuna mpango wa baadae kuongeza vifikie 23.

Comments
Post a Comment