Kutana Na Samaki Nguva Aliyevuliwa Jana Kigamboni, Huyu Hapa Angalia Picha Hapa

Yamekuwa maajabu kwa wenyeji wa kijiji cha Mwaembe Msambweni katika Wilaya Ya Kigamboni baada ya samaki aina ya nguva mwenye maumbile ya binadamu, ndovu na ng’ombe kupatikana katika bahari Hindi.
1. Nguva ana rangi ya kijivu na umbo la mwili wake ni nyofu na uso wa umbo la nguruwe. Awapo katika maji hutoa kichwa chake juu ya maji kuvuta hewa kwa kutumia mashimo mawili ya pua yaliyopo upande wa juu wa kichwa chake.
2. Nguva ni mnyama anayezaa na kunyonyesha kama walivyo wanyama wengine na wakati akinyonyesha husimama na kukumbatia mtoto wake hali inayoweza kumfanya mtu aliyemuona kudhani kuwa ni mtu.
Comments
Post a Comment