Diamond ahusishwa Mama Kanumba Kuwa Na Huzuni Mahakamani.....Soma Hapa


Wakati Elizabeth Michael aka ‘Lulu’ akiendelea kuhudhuria makamani kujibu tuhuma za kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake, Steven Kanumba, wadau wa filamu wamekuwa wakisikitishwa na maisha ya mama Kanumba ambaye amekuwa akihudhuria kesi hiyo kila siku inapotajwa.

Mama huyo siku ya leo alionekana Mahakama Kuu jijini Dar es salaam akiangalia mwenendo wa kesi hiyo huku akionekana kukosa furaha kabisa.
Muigizaji Bond Bin Sinnan ameandika ujumbe kuonyesha kusikitishwa na jinsi mama huyo anavyoteseka na maisha.
“Siku zote huwa nikikutizama naishiwa nguvu mwilini na amani moyoni mwangu. Huwa najiuliza mengi sana. Nikimtizama Diamond anavyo mlea mama yake nakumbuka Steve alivyokuwa anakulea wewe. Nikuombee kwa Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri na uamini binaadamu hajiendeshi bali huendeshwa na mungu,” aliandika Bond.

Comments

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa

Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa