Breaking News::: Maamuzi Ya Wazee Wa Mahakama Leo Tarehe 26 Alhamisi Katika Kesi Ya LULU Soma Hapa
Wazee wa baraza ambao pia ni washauri wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wameeleza kuwa msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' ameua bila kukusudia.
- Jaji Sam Rumanyika amepanga kutoa hukumu Novemba 13 mwaka huu.
Wazee wa baraza ambao pia ni washauri wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wameeleza kuwa msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' ameua bila kukusudia.
Kutokana na hali hiyo, Jaji Sam Rumanyika amepanga kutoa hukumu Novemba 13 mwaka huu.

Comments
Post a Comment