Baada Ya Kuwatoroka Polisi Kimiujiza Jana.... Sheikh Ponda Akamatwa huku SoMa Hapa
Katika mkutano na waandishi wa habari Kamishna wa Kanda hiyo, SACP Lazaro Mambosasa alimtaka Sheikh Ponda kufika kituo cha Polisi kwa tuhuma za uchochezi na kuikejeli Serikali ambazo alitoa hivika karibuni.
Kauli hizo zinadai Sheikh Ponda alizitoa October 11 mwaka huu katika mkutano na waandishi wa habari ambapo inaharifiwa kuwa Polisi baada ya kupata taarifa za uwepo wa mkutano huo walifika eneo la tukio lakini hawakufanikiwa kumapata Sheikh Ponda.

Comments
Post a Comment