Baada ya kukiri kufulia,Nakuuza Nyumba Na Magari.. Nay wa Mitego aja na jipya hili Kuokoa Maisha Yake



Baada ya wiki iliyopita kutangaza kuwa ameuza magari yake yote na kwa sasa anatembelea daladala na bajaji. Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Nay wa Mitego amekuja na tamasha lake aliloliita ‘Nguvu ya Kitaa’.

Nay wa Mitego amesema lengo la kuanzisha tamasha hilo ni kusaidia mashabiki wake wenye kipato kidogo, kushudia muziki mzuri kutoka kwake na wasanii wengine ambao watamsindikiza kwa bei nafuu.

Tamasha hilo litafanyika mikoa mitano na litajumuisha wasanii kibao wa Bongo Fleva akiwemo QBoy Msafi, Pam D, Chemical na wengineo kibao.

Comments

Popular posts from this blog

Kweli Dunia Imeisha::: Unaambiwa Hizi Ndio Bei Za Makahaba/Machangudoa Dar......Sinza Hakushikiki

Hizi Ndizo Shida Tatu Kubwa Za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Awapo Kwenye Kitanda Soma Hapa

Kitakachompata Mwanamke Endapo Akiacha Kufanya Mapenzi Soma Hapa