Baada Ya Diamond Kumpiga Mimba Hamissa....Ali Kiba Ajibu Ampiga Mimba Mwanadada Uyu Avujisha Picha Hizi
-Staa wa Bongo Ali Kiba amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya mwanamke aliyeshiriki mapenzi naye usiku mmoja kujitokeza na kusema kuwa alikuwa mjamzito
-Caroline Dorothea, katika taarifa aliyoweka katika mtandao wa Instagram, alidai kuwa alikuwa akitarajia mwana wa mwanamuziki huyo
-Dorothea ndiye mwanamke wa tano kupata mtoto na mwanamuziki huyo, nyota wa Bongo Mwanamuziki wa Tanzanian Ali Kiba amezua mjadala mkubwa baada ya mwanamke wa tano kujitokeza na kusema kuwa amebeba mimba ya mwanamuziki huyo
Mwanamke huyo amedai kuwa ana mimba wa staa huyo. Lakini Ali Kiba mapema alikana kuwa na uhusiano wowote na mwanamke huyo, "Ni ujinga tu, kwanza pale watu wanaona ni kama kwenye mapokezi, sema kwa sababu watu wameamua kuongea acha waongee lakini katika hilo wanalofikiria hakuna ukweli wowote,” alisema wakati wa mahojiano.
Dorothea aliweka mtandaoni picha ya mimba yake na kumhusisha Ali Kiba. Binti huyo alisema “Princess is coming @Alikiba”.

Comments
Post a Comment